JamiiForums Usiku wa manane
Aaah
Jamani
Mimi huyu Ney kanishnda
Yaan jana mi naumwa yeye ana bebika huku.
Ney stak kukuona tenaa
Mpenzi wangu mzuri, hayo maneno magumu ya namna hiyo umeyatoa wapi?
Embu usimpe nafasi shetani.

Usipaniki mpenzi, tusemezane. Wapenzi huzungumza na sio kupeana lawama.
Mbona yanazungumzika hayo mpenzi wangu jamani, umepatwa na nini?
 
Back
Top Bottom