Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mmmh! Umeitikiaje?Mahaaba niue mwanafunzi wangu, hujambo?
Ndio maana nilikimbia darasa lako

Mmmh! Umeitikiaje?Mahaaba niue mwanafunzi wangu, hujambo?

Pole kwa ban. Lakini ukiingia kwa web wanakuambia ulifanyaje...Jana mli happen sana humu aiseeeeNimekuhamu sana
Mimi kama mfunga geti la lindo maarufu hilo jambo nitarara nalo mbele, sijaribiwi mimiHivi inakuaje mpaka Saa 4 Saa 1 watu wanachat kama hawaelewi vile???sio fresh wala nini...kama hamuwezi kubundika na Ku popoka all night just kitulize tyuuuu
Akuuue?Mahaaba niue mwanafunzi wangu, hujambo?
hahahaKigoda na kisosi unataka kuogeshwa na dada au?
Nimeweka mdalasini iliki pilipili manga. Ukitoka hapo unanunia kama chai ya waarabu my love



Bundizz ndani ya nyumba, wellcome sanaHeloooo
Hi dear!Heloooo
Nakula na chumvi tu wala usijali, marmbe ni ya msimu tuMmmh! Umeitikiaje?
Ndio maana nilikimbia darasa lako![]()
![]()
Watch "Wahu - Sweet Love (Final Video)" on YouTube
HujamboShemeji.....![]()
![]()
![]()
Jana ulitekwa?Nimekuhamu sana
Ahsante, nilihoji nikajibiwa hapaPole kwa ban. Lakini ukiingia kwa web wanakuambia ulifanyaje...Jana mli happen sana humu aiseeee
Najikuta nakuhamu tuHi dear!