Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mangaaaaaa Plz naomba usinikumbushe yaliyopita, utaniumizaAisee kwa hiyo pande hizi ndo hakwepo tu basi sawa.
Hata mimi nilichezea mineno mikali hapo nashukulu asaivi tunaongea
Mangaaaaaa Plz naomba usinikumbushe yaliyopita, utaniumizaAisee kwa hiyo pande hizi ndo hakwepo tu basi sawa.
Hata mimi nilichezea mineno mikali hapo nashukulu asaivi tunaongea
Pole sana utarudi katika ubora wako tukiendelea kuwepo.Safi braza sasa nliondoka muda mrefu mpaka app ina nishinda ndio najifunza hapa kutumia
Basi shemeji maserati ntamwona kesho
Huku wepi hapa kwenye huu uzi, but ulikuwepo JfUnasemaje!? Sikuwepo ila you know me? How comes?
Kuana kheri apa zikirudi kweli?Nilisahau kongezea na hela ya kutolea, zirudishe nitume tena
Usinikumbushe machungu ya kummiss rafiki yangu kipenzi.....
Ni mtu pekee katika hii dunia aliyenitakia 'happy valentine' namtafuta sana nimshukuru kwa hilo
Hajaonekana toka valentine eehUsinikumbushe machungu ya kummiss rafiki yangu kipenzi.....
Ni mtu pekee katika hii dunia aliyenitakia 'happy valentine' namtafuta sana nimshukuru kwa hilo
Kuana kheri apa zikirudi kweli?
HahahahaSasa hapa naona mambo yanataka kuwa No woman no cry
Hafu wewe kazi kututia ubaya tu na tukiomba nafasi ya kukutakia mazuri unajifanya husikii sawa lakini natumai Ney atakuja si masiku mengi amini hivyoUsinikumbushe machungu ya kummiss rafiki yangu kipenzi.....
Ni mtu pekee katika hii dunia aliyenitakia 'happy valentine' namtafuta sana nimshukuru kwa hilo
Hongera kwa hiloSio kwamba siumii mkubwa, orodha yangu ndogo sana. Sina majuto mengi
Ndio kuumizwa huko halaf ukiwaelezea watu una ona kama hawachukulii siriaz maumivu yakoUmeona eeeh!![]()
![]()
![]()
Ila ubaya wa hayo maimivu ni kwamba,watu wengine unawaona kama hawakuumizwa kama ulivyoumizwa wewe
Rafiki.....Usichezee nguvu ya muamala kaka. Tunaaga pamoja
Wazima karibuWazima humu?
HahahahHaya mambo yalitakiwa tupewe user guide
Hongera kwa hilo
Hapana si masiku mengi nilimuonaHajaonekana toka valentine eeh
EeehPole sana utarudi katika ubora wako tukiendelea kuwepo.
Huyo usimuiye shemeji ha ha haaa muiye mama chanja tu kwa maana huniita baba chanja