JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukute mwenye ndio anajiona kama mtu wa kwanza kuumizwa duniani, akat mahiran mmchill tu na msha yapitia kimya kimya
Umeona eeeh![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ubaya wa hayo maimivu ni kwamba,watu wengine unawaona kama hawakuumizwa kama ulivyoumizwa wewe
 
Aisee kwa hiyo pande hizi ndo hakwepo tu basi sawa.

Hata mimi nilichezea mineno mikali hapo nashukulu asaivi tunaongea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thad ni ntaalam wa ku friendzone kumbe eeh?

Aah mi mwenyewe ilibid niwe mpole
 
Back
Top Bottom