The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Hahahah
Kabsaa ila ni lazima uyapitie ndio experiwnce yenyewe hiyo
Sawa na movie la kigiriki halina subtitle
Hahahah
Kabsaa ila ni lazima uyapitie ndio experiwnce yenyewe hiyo
Namuonea huruma kwakweli mana najua kifuatachoHiyo ndio itakua kiendacho kwa mganga...kaa mbali na wahenga mkuu
Khaaa!Hata mimi nilikutakia rafiki, au kwa vile niliitoa kwa wana JF wote? Nilijua ingekuja kwako peke yako ingesababisha conflict of interest
Hapo sawa, maana nilitaka nikuitie Titimunda aje kuwa shahidi yanguHuku wepi hapa kwenye huu uzi, but ulikuwepo Jf
Kabsa yaan Jf wameharib app yaoHapana si masiku mengi nilimuona
Hem tafuta post yake moja umquote ataiona atakuja hizi menshen sikuhizi hazi leti notfcation
Namuonea huruma kwakwwi mana najua kifuatacho
Nitaamini vipi kama kweli nilikuwa miongoni mwa uliowalengaHata mimi nilikutakia rafiki, au kwa vile niliitoa kwa wana JF wote? Nilijua ingekuja kwako peke yako ingesababisha conflict of interest
Unakumbuka ulivo nipiga friendzone sku za nwanzo tu?Hapo sawa, maana nilitaka nikuitie Titimunda aje kuwa shahidi yangu
Subiri kidogo utaharibi jua tu huyo ndo wangu mieEeeh
Sasa kwangu mimi si shem tuu![]()
Au ndio nisirukie treni kwa mbele?
Rafiki.....
Muamala umefanyaje?
HahahahaUsichezee nguvu ya muamala kaka. Tunaaga pamoja
Nitaamini vipi kama kweli nilikuwa miongoni mwa uliowalenga
Heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi.Namuonea huruma kwakweli mana najua kifuatacho
Hiyo ndio itakua kiendacho kwa mganga...kaa mbali na wahenga mkuu
Hapo sawa, maana nilitaka nikuitie Titimunda aje kuwa shahidi yangu
HahaahahaSubiri kidogo utaharibi jua tu huyo ndo wangu mie
Hahahaha
Kwenye ule muamla nadhani nguvu ilikuwa kwenye lile salio
Braza isha kuwa kesi hehehe!Hivi huyo ndo nanii kwako?