Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Cheka tu ndugu yangu haya mambo ni mepesi kwa baadhi ya watu ila ni mazito mno kwa upande mwingineDah! Nimecheka kwa sauti
Cheka tu ndugu yangu haya mambo ni mepesi kwa baadhi ya watu ila ni mazito mno kwa upande mwingineDah! Nimecheka kwa sauti
Heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi.
Nishausoma huu mchezo
Good nyt ThUsiku mwema wadau. Wacha nilale ili kukicha niwahi kumpa jirani yangu salamu zenu kabla hajaanza kuupiga ule wimbo wake
Aje atuambie hapa isijekua anatutambulisha kiutu uzima ujue mana nimkali simba anasubiriBraza isha kuwa kesi hehehe!
Halaf mi mwenyewe sjui titimunda angesaidia vipi ku prive kama namfaham before jf
Usiku mwema wadau. Wacha nilale ili kukicha niwahi kumpa jirani yangu salamu zenu kabla hajaanza kuupiga ule wimbo wake
Peace!!Good nyt Th
Laleni salama
Basi usiseme nimekutumia kidogo...hapo tu ndio nilipotaka kuweka sawa. Unaona maisha yalivyo ya ajabu, mwingine alirudisha, ikatumwa mara mbili, wewe ungekosea njia ikarudi, ungeingia hasara hadi pesa ya kuirudisha
Nan kati yenu ndio kanijibu ?Peace!!

Kesho tuonane kama Muumba akituacha salamaUsiku mwema wadau. Wacha nilale ili kukicha niwahi kumpa jirani yangu salamu zenu kabla hajaanza kuupiga ule wimbo wake
Ndo kama kawaida yangu ishanikosa na subiri wakunionea huruma tuYeeea!
Alienda wap mada dark angel
Nan kati yenu ndio kanijibu ?![]()
Mkuu Mungu akipenda na sie hatuna muda hapaNa mimi naomba ruhusa nilale
Eti eeh basi ngoja niwe mpole kwake mana yakimtoka yanakua na maumivu mno
Mkuu Mungu akipenda na sie hatuna muda hapa
Njoo huku kidogoJamani eeeh
Am happy to be back
Mlale salama
Ndo kama kawaida yangu ishanikosa na subiri wakunionea huruma tu