JamiiForums Usiku wa manane
Hahaha sanaritan uba uzoefu wa kuwa broken hearted! Ubaginga za kina soledad, goodbye, i will akways love you te a waswahil walivo wata kusifia kuwa unapiga nyimbo za taratib akat wewe unaugulia hapo
jamani ila mficha maradhi kifo humuumbua, bora apige za kiswahili ili majirani zake tuelewe situation aliyonayo tuwe tunamfariji kwa namna moja ama nyingine
 
Namshukuru Mungu hii tasnia niliianza ukubwani mkuu. Sikubahatika kuumizwa zaidi ya ile kukaribishwa, baada ya hapo nikasimama fasta kama mtoto wa nyumbu. Nipobimara sana hadi leo, siruhusu kabisa kuumizwa. Of course sioendi kuumiza mtu pia.
 
Wabongo tunawajua nyie mkishagundua mtu alitendwa tuu, mnamgeuza kituko, hata mimi huwa najipugia ki Trump tuu. Nakufa kivyangu. Bora lawama kuliko fedheha
 
Namshukuru Mungu hii tasnia niliianza ukubwani mkuu. Sikubahatika kuumizwa zaidi ya ile kukaribishwa, baada ya hapo nikasimama fasta kama mtoto wa nyumbu. Nipobimara sana hadi leo, siruhusu kabisa kuumizwa. Of course sioendi kuumiza mtu pia.
Hahaha umetisha
Kaka mimi huwa naumia, huwa najitahid nsiumie ila wap. Sema najitahid ku recover mapema tuu.
 
Ndio moja ya kumpa pole jirani mwambie unakuwa una enjoy kama hivo. A move on.

Basi na mini majirani walikuwa wanepumzika kipindi sko jf, nadhani leo watakuwa ana sema uchizi usha mrudia Ice. Teh teh
Kumove on huwa si kurahisi sana, kwa sisi ambao tulishayapitia tunabaki kumwonea huruma sana
 
Back
Top Bottom