JamiiForums Usiku wa manane
Basi kila ukipigwa nachekaga peke yangu....pole yako nitamfikishia sijui haitaniletea kizaazaa maana inaonekana ana machungu moyoni
Aah
Huyo sasa unampa pole ukiwa mbali kdgo, asje aka fanya mansloughter bure! Watu wenye hisia kama hao si wazuri.
Teh teh
 
Hahaha
Yasha mkuta huyo, ujue kuna nyimbo ukizipiga zina kuwa zina kuhusu kabsa.
Kampe pole yake kabsaa

Mwambie Thad amsihi jirani yake apige nyimbo za kiingereza tupu, lakini kama kila siku anapiga sijui siri ya ndani moyo wangu...majirani watajiongeza tu. Lakini akigonga its not easy watu hawana habari.
 
Daaah! Kaka nilitekwa na watu wasio julikana.
Lakin back again! Nadhani na wewe ulikuwa una nilindia Ney wangu
Pole sana hawa watu ni hayari sana ila tunashukulu kama wamekuacha salama asee

Nimelinda mpaka nimekua adii sasa mana nakosa jibu nikiulizwa nimesikitika sana asee
 
Mwambie Thad amsihi jirani yake apige nyimbo za kiingereza tupu, lakini kama kila siku anapiga sijui siri ya ndani moyo wangu...majirani watajiongeza tu. Lakini akigonga its not easy watu hawana habari.
Hahaha sanaritan uba uzoefu wa kuwa broken hearted! Ubaginga za kina soledad, goodbye, i will akways love you te a waswahil walivo wata kusifia kuwa unapiga nyimbo za taratib akat wewe unaugulia hapo
 
Nakuahidi kuwa nitalala tena usingizi mwololo nikutajie basi namba yangu ufanye huo muamala 0123-456 789

5BQ1875MRS2 Imethibitisha. Tsh250,000.00 zimetumwa kwa 0123-456 789 tarehe 08/3/18 saa 2:35 AM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh2,452,013.00.
 
Bwana ujue ni usiku, punguza kunichekesha jirani yangu nitamwamsha anikasirikie kabla ya kumpa pole yako....

Ndio moja ya kumpa pole jirani mwambie unakuwa una enjoy kama hivo. A move on.

Basi na mini majirani walikuwa wanepumzika kipindi sko jf, nadhani leo watakuwa ana sema uchizi usha mrudia Ice. Teh teh
 
Mwambie Thad amsihi jirani yake apige nyimbo za kiingereza tupu, lakini kama kila siku anapiga sijui siri ya ndani moyo wangu...majirani watajiongeza tu. Lakini akigonga its not easy watu hawana habari.
Yani nyie, mnanichekesha sana mjue.
Nitajaribu kuongea naye japo sina uhakika kama atanielewa
 
Back
Top Bottom