JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Eeeh hakuwahi kukusaliti hata. Sema tu alikuwa mwema sana kwa kila mtu, sasa sijui kama wema wake ulikuwa wema kweli au alikuwa na ajenda ya siri...[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Sawa wewe huwa nakuamini, naweka kwenye rekodi.
Nikimaliza na uchunguzi nadhani ntakupa mrejesho.
I hope she was faithful.
 
Weee whatsapp ni ushahidi tosha....
Nitahakikisha siachi alama yoyote ya ushahidi ili likitokea lolote nimruke futi mia

Ahhh! Utamrukaje sasa wakati unapomaliza kumwambia atakua ameshakutengua miguu na kiuono? Utaweza kukimbia? Stay away from troubles if you can, it doesn't mean you are weak!! Sawa rafiki?
 
Ahhh! Utamrukaje sasa wakati unapomaliza kumwambia atakua ameshakutengua miguu na kiuono? Utaweza kukimbia? Stay away from troubles if you can, it doesn't mean you are weak!! Sawa rafiki?
Asante kwa ushauri wako rafiki, mtu mwenyewe anaonekana anampenda kuliko anavyoipenda nafsi yake...
 
Back
Top Bottom