The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
![]()
![]()
asipohimili mi simo. Wakati namsimulia nitakuwa nimesimama kabisa nikimaliza naondoka zangu sitangoja matokeo ya simulizi yangu
Au unatuma audio whatsapp, ikienda tu unazima simu
![]()
![]()
asipohimili mi simo. Wakati namsimulia nitakuwa nimesimama kabisa nikimaliza naondoka zangu sitangoja matokeo ya simulizi yangu
Shemeji haya mambo si mepesi. Naamini maneno yako. Ntaambatanisha na ka uchunguzi kdogoNi msafi, kuna wkt ujirani na KK ulizidi nikafatilianoisa wivu but all was well
So be of gud cheer uko salama
Eeeh hakuwahi kukusaliti hata. Sema tu alikuwa mwema sana kwa kila mtu, sasa sijui kama wema wake ulikuwa wema kweli au alikuwa na ajenda ya siri...Hahahaha
Eti anasema Ney alikuwa fresh kabsa na hakunisaliti.
Mi siamini yaan! Hawa watu ni team Ney hawa.

Soon nawaachia vijiti muendelee na lindoSibiri, jje's na Kichwa Kichafu waondoke nitakupa mkanda kamili. Ila usinitaje maana mimi sijawahi kusutwa tangu nizaliwe
Wivu tuMimi wewe nakuminiaa, kwanza naendesha uchunguzi wangu mwenyewe.
Ney nampenda ila najua yule nikipotea sku mbili tuu si wangu yule![]()
hahahaha. Nimecheka sana mkuu.
Usiondoke bwana,bado tunakuhitajiSoon nawaachia vijiti muendelee na lindo
Hizo zingine azifiche wapi au TRA? HahahaHongereni bhana, jirani ameweza kuchagua! Unamfaa kabsa.
Ila usiwaamini na wewe kwa asilimia zite, jiweekee chache za kuepusha stress.
Braza muache alikuwa anakuja vzuriRafiki naona umeanza kuzitafuta figisu...chondechonde
hahahaha. Ukamanda mwisho saa 12 bendera ikishuka, time hii majina applicable ni babe, sweetheart nakadhalika. Tutaresume ukamanda alfajiri.Unachekaae
Bby acha nitangulie mm
Usichelewe kuja hun
Makamanda wengine niwatakie usiku mwema
Mi natangulia mamitoThanks hun
Soon nawaachia vijiti muendelee na lindo
Mwambie huyu maana huwa anajifanya mwajuma ndala ndefu kumbe walaRafiki naona umeanza kuzitafuta figisu...chondechonde
Weee whatsapp ni ushahidi tosha....Au unatuma audio whatsapp, ikienda tu unazima simu
HahahaHahaha hunter ukafanya uwindaji ndani ya zizi la mtu
Naona mwaitana kwenda kulala....Unachekaae
Bby acha nitangulie mm
Usichelewe kuja hun
Makamanda wengine niwatakie usiku mwema
Mimi kama jirani yake kipenzi situation aliyopitia Neybright ni zaidi Hata ya maelezo blaza![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Braza naona unaweka diplomasia hapo, we nichane tu
I will understand
Hakika u rafiki mwema, maana ningekuja kuaibika humu siku moja.Nakuonea huruma. Utaongea hapa kiroho safi, watavurugana weeee, kishavwatapatana. Hapi watakapokugeukia wewe utajificha wapi?
Speed ya light nipo hapo mamiiUnachekaae
Bby acha nitangulie mm
Usichelewe kuja hun
Makamanda wengine niwatakie usiku mwema