jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Hhapana namteteaDaah! Ney wangu nime mmis mnoo!
Sasa ndugu uwe mkweli, hakuoata mtu mwengine akat mi sipo?
Hhapana namteteaDaah! Ney wangu nime mmis mnoo!
Sasa ndugu uwe mkweli, hakuoata mtu mwengine akat mi sipo?
Unataka uvunje ndoa ya watu eeh?
LuvUmemsemeshaje Thad ?
Ujue sipendi ugomvi na wewe
Kupitia thread zake!😀😀😀
mikwara gani tena?
![]()
![]()
![]()
We si una jua Ney nlisha kuwa nime mtambulisha had kwa bdugu zangu.
Huyo alikuwa jirani yake(japo nlikuwa sinwamini asilimia 100)
Ngoja nifanye uchunguzi wangu humu, ntajua kama kweli.Hhapana namtetea
uwoga wako ndio umasikini wako mkuu..Kupitia thread zake!
Uliyemuuza ameshakujibu?Daah! Ney wangu nime mmis mnoo!
Sasa ndugu uwe mkweli, hakuoata mtu mwengine akat mi sipo?

Vile nakupenda
Sorry Comrade sijakutambulishaNaona jje hajanijib
Ubebi wenu umeanza kitambo ee?
Jibu on behalfUliyemuuza ameshakujibu?![]()
![]()
![]()
Enheee! Najua at least wewe utakuwa upande wangu tumetoka mbali,Ney?
Sijui nikwambie au nikuache tu....
Una kifua lakini?
Ni vema bhana afande maana nisije nijawinda mali yako bhana.Sorry Comrade sijakutambulisha
una la kumwambia acha tuone thread ya 2yrs aniversary soonNey?
Sijui nikwambie au nikuache tu....
Una kifua lakini?
SduuuhEnheee! Najua at least wewe utakuwa upande wangu tumetoka mbali,
Nambie, mi mwenyewe nna mashaka na Ney.
Sibiri, jje's na Kichwa Kichafu waondoke nitakupa mkanda kamili. Ila usinitaje maana mimi sijawahi kusutwa tangu nizaliweEnheee! Najua at least wewe utakuwa upande wangu tumetoka mbali,
Nambie, mi mwenyewe nna mashaka na Ney.
Ndugu yangu hili ni swali gumu linahitaji makablasha, nondo pia liwe ni open bookDaah! Ney wangu nime mmis mnoo!
Sasa ndugu uwe mkweli, hakuoata mtu mwengine akat mi sipo?
Ney?
Sijui nikwambie au nikuache tu....
Una kifua lakini?
Hongereni bhana, jirani ameweza kuchagua! Unamfaa kabsa.Nimecheka sana best
Uwe na aman, maana ya mm kuingia kwenye mamlaka yake hakuna anakoenda. Be of cheer kbsa
Kweli eeh! Basi sisemiuna la kumwambia acha tuone thread ya 2yrs aniversary soon