Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,994
- 189,580
Nafurahi nisikiavyo maneno yako mamiiBby asante maana moyo ushaanza kwenda speed na niko kitandani, nauuliza "moyo safari ya wapi" naona umetulia sasa
Nafurahi nisikiavyo maneno yako mamiiBby asante maana moyo ushaanza kwenda speed na niko kitandani, nauuliza "moyo safari ya wapi" naona umetulia sasa
Ni msafi, kuna wkt ujirani na KK ulizidi nikafatilianoisa wivu but all was wellNgoja nifanye uchunguzi wangu humu, ntajua kama kweli.
Maana Ney niliwekeza sana kwake
[emoji101]Ney?
Sijui nikwambie au nikuache tu....
Una kifua lakini?
Thanks hunNafurahi nisikiavyo maneno yako mamii
HahahahaUliyemuuza ameshakujibu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jaribu bahati yakoohooo tunatishana sasa...
stimu yote itaisha
Sibiri, jje's na Kichwa Kichafu waondoke nitakupa mkanda kamili. Ila usinitaje maana mimi sijawahi kusutwa tangu nizaliwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimecheka sana best
Uwe na aman, maana ya mm kuingia kwenye mamlaka yake hakuna anakoenda. Be of cheer kbsa
wacha nijilipue tu maana hakuna namna[emoji23] [emoji23] [emoji23] jaribu bahati yako
Mimi wewe nakuminiaa, kwanza naendesha uchunguzi wangu mwenyewe.Sibiri, jje's na Kichwa Kichafu waondoke nitakupa mkanda kamili. Ila usinitaje maana mimi sijawahi kusutwa tangu nizaliwe
Asante kwa kunikumbusha nipaswavyo kuishi [emoji40] [emoji40] [emoji40]Rafiki naona umeanza kuzitafuta figisu...chondechonde
hahaha. Unampooza kwa msg ya 'imethibitishwa'.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ndugu yangu hili ni swali gumu linahitaji makablasha, nondo pia liwe ni open book
Ila jirani yangu alipitia kipindi kigumu sana kwa kutoweka kule bila taarifa
Cc Neybright
Unanimaliza kila idara si kwa maneno si kwa mapishi si kule kwa sita kwa sita. Nazidi kukupenda na kukupenda luvUnajua
Vile nakupenda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hilo sio swali, utahimili misuto? Mwenzio kifua kipo japo kilitaka kushindwa kuuzuia moyo usitoke.
Asante kwa kunikumbusha nipaswavyo kuishi [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asipohimili mi simo. Wakati namsimulia nitakuwa nimesimama kabisa nikimaliza naondoka zangu sitangoja matokeo ya simulizi yanguHilo sio swali, utahimili misuto? Mwenzio kifua kipo japo kilitaka kushindwa kuuzuia moyo usitoke.
hahahaha. Nimecheka sana mkuu.Hizo meseji kwa sasa sio tu grisi, ni samli kabisaa.
Hahaha hunter ukafanya uwindaji ndani ya zizi la mtuNi vema bhana afande maana nisije nijawinda mali yako bhana.
Hongereni
Unachekaae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]