Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
jichagulie mwenyewe wadau wapo tele humuMvuaaa imeanza tena na shemeji yenu hayupo nimkumbatiee nani jamani?
jichagulie mwenyewe wadau wapo tele humuMvuaaa imeanza tena na shemeji yenu hayupo nimkumbatiee nani jamani?
Naona jje hajanijibSweetie.
Miss u
Pamoja mkuu.Daaah
Ndugu yangu lakini nsha rudi si mbaya
Wapi Ney lakin?
Worry not honeyNaona kwa mbali, bado napenda kamoyo kangu
Hahahashukrani mkuu. Nilikua silijui hili chamber. Na lina hali ya hewa nzuri maana naona 'viumbe wa kipekee' wako tele huku
Kumbe we mteja kama mimi,basi ngoja nijipatie mwenyewMm sio mhudumu ni mteja tu
ohooo tunatishana sasa...Maisha haya hayana fomula, naweza kukutibua nikaishia kula ban ya maisha.
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Mh! Na kweli, wenzetu wakitibuana walikua wanapoozana kwa miamala ya Mpesa..unaweza kumtibua mtu ukaoga matusi na bonas ya ban, walimwengu waone hivihivi
nimeipenda style ya Smart ya kupenyeza rupia penye ubia....Jirani yake eeeh au unajua lingine
wivu wako nimekuzidi Mara infinity babyTatizo ana mikwara sana mpaka anatutishajichagulie mwenyewe wadau wapo tele humu
hahaha. Unampooza kwa msg ya 'imethibitishwa'.Mh! Na kweli, wenzetu wakitibuana walikua wanapoozana kwa miamala ya Mpesa..unaweza kumtibua mtu ukaoga matusi na bonas ya ban, walimwengu waone hivihivi
😀😀😀😀😀Mh! Na kweli, wenzetu wakitibuana walikua wanapoozana kwa miamala ya Mpesa..unaweza kumtibua mtu ukaoga matusi na bonas ya ban, walimwengu waone hivihivi
kiAaah!
Huyu namfaham kama jirani tu kuna jingine unijuze?
Daah! Ney wangu nime mmis mnoo!
Ney?Daaah
Ndugu yangu lakini nsha rudi si mbaya
Wapi Ney lakin?
Hapana nilifikir unajua lingibe wewe unijuze
ki