The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
![]()
![]()
![]()
umenifanya nicheke na kuusahau mtibuo wangu
Hapo haswa ndio nnapopataka, si bora unitibue mimi? Hahahahaa
![]()
![]()
![]()
umenifanya nicheke na kuusahau mtibuo wangu
Hahahahahah mkuu karibu
Ita kwa jina kbsa
Au hata wewe unaweza ukanipatia!Ita kwa jina kbsa
Ila kesho ukisinzia kwa mwajiri ni at your own risk
majibu ya humu leo mbona yanafurahisha hivi?Sweetie.
DaaahKwema kabisa Amigo.
Kimya kirefu sana kamanda
![]()
![]()
tafadhali usinichonganishe na jje's
shukrani mkuu. Nilikua silijui hili chamber. Na lina hali ya hewa nzuri maana naona 'viumbe wa kipekee' wako tele hukuHahahahahah mkuu karibu
Jirani yake eeeh au unajua lingineDaaah
Ndugu yangu lakini nsha rudi si mbaya
Wapi Ney lakin?
![]()
![]()
![]()
majibu ya humu leo mbona yanafurahisha hivi?
Maisha haya hayana fomula, naweza kukutibua nikaishia kula ban ya maisha.Hapo haswa ndio nnapopataka, si bora unitibue mimi? Hahahahaa
hahaha. Boss wangu ni mimi mwenyewe.Ila kesho ukisinzia kwa mwajiri ni at your own risk
Aaah!Jirani yake eeeh au unajua lingine
Haya bwanaTunakumbushana tu kwa nia njema.
Au hata wewe unaweza ukanipatia!
Maisha haya hayana fomula, naweza kukutibua nikaishia kula ban ya maisha.
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi