Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
nishakaribia mpendwakaribu ..
nishakaribia mpendwakaribu ..
Teh teh tehHii offer ni kwa miller peke yake au na wanachama wengine wa usiku wa manane club?
Ooooh my Goood! BrazaaaComrade comrade long time no see u brother.
Acha nikutibue umekuwa majiMchana kuna mtu kanitibua mbaya, natamani angekuwa jf member yamkini nami ningewaletea mrejesho mwakani![]()
![]()
![]()
my ribs
Nimecheka sana walahKumbe huu mtaa huwa kumechangamka na watu wanapatiwa kabisa wanavyotumia!
@Mr Miller risk taker manNasemaje mr miller ana wivu kama vipi nampa nafasi ya bureee tu anioe kabisa nimzalie na watt mm bado msichana mbichi nalipa nalala nitakuta majibu kesho
Acha nikutibue umekuwa maji
tafadhali usinichonganishe na jje'sMvuaaa imeanza tena na shemeji yenu hayupo nimkumbatiee nani jamani?
Nashangaa mpaka sasa mhudumu hajaniona!Nimecheka sana walah
Teh teh teh
Hahahahahah mkuu karibuKumbe kuna sehem hapa ya wakosa usingzi.
Kumbe kuna sehem hapa ya wakosa usingzi.
Hahahahaaaa don't try this at home. Shake well before use. That was exclusively for JF. Huko mtaani uwe mpole tu wasije wakakujeruhi bure ukijua muujiza umetimia
umenifanya nicheke na kuusahau mtibuo wanguNashangaa mpaka sasa mhudumu hajaniona!
Nikung'ate sikioMvuaaa imeanza tena na shemeji yenu hayupo nimkumbatiee nani jamani?
Kwema kabisa Amigo.Ooooh my Goood! Brazaaa
Am back!
Long time no see! Hujambo lakini?