Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,781
😀😀😀😀aiseeDah! Pole sana, lazima upoteze bashasha..mke wa huyo jamaa atakua na ndomo sana, anaweza kukupiga vijembe ukayeyuka. Kana kwamba haitoshi mzee mzima anakuja kukuanzishia thread kwenye kadamnasi. Pole sana.