The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,506
- 46,716
kidogo kumechangamka humu leo
Kiongozi naona bado unasaka wa kukwaruzana nae kwenye post...wahenga wabaya sana, eti wagombanao ndio wapatanao, tukaaminishwa hivyo na Mahondaw
kidogo kumechangamka humu leo
Oooh. Samahani naona watu wengi wanaingia,karibu . utatumia kinywaji gani mida hii?Ma se ra ti
kwanini?Kiongozi naona bado unasaka wa kukwaruzana nae kwenye post...wahenga wabaya sana, eti wagombanao ndio wapatanao, tukaaminishwa hivyo na Mahondaw
Ooh! I'm so sorry DemissWewe kila comment Gudume Gudume
Aaah mambo mengine ya utan yanakuwa yameshapita unataka mpaka demu wake anichambe ndo ufurahi acha hizo basiii hata huwez kupotezea.
Umeniuzi kifupiiii kila siku kila siku
Basi bhn naona unalazimisha ndoa mm na huyo Gudume .
Nimelia sana sijui kama utanibembeleza ninyamaze labda Mwifwa peke yake ndo anajua kuninyamazisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha nini hapo? Hebu fafanua vizuriKiongozi naona bado unasaka wa kukwaruzana nae kwenye post...wahenga wabaya sana, eti wagombanao ndio wapatanao, tukaaminishwa hivyo na Mahondaw
Wewe kila comment Gudume Gudume
Aaah mambo mengine ya utan yanakuwa yameshapita unataka mpaka demu wake anichambe ndo ufurahi acha hizo basiii hata huwez kupotezea.
Umeniuzi kifupiiii kila siku kila siku
Basi bhn naona unalazimisha ndoa mm na huyo Gudume .
Nimelia sana sijui kama utanibembeleza ninyamaze labda Mwifwa peke yake ndo anajua kuninyamazisha
kwanini?
Umejisikia raha sana kuniharibia mood ya kuchatOoh! I'm so sorry Demiss
Hapana, sikuwa na lengo hiloUmejisikia raha sana kuniharibia mood ya kuchat
Haya endelea kuenjoy ngoja nilale .
Uchochezi huu [emoji20][emoji125][emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha nini hapo? Hebu fafanua vizuri
Umejisikia raha sana kuniharibia mood ya kuchat
Haya endelea kuenjoy ngoja nilale .
hahaha acha tu ndugu yangu..Kiongozi naona bado unasaka wa kukwaruzana nae kwenye post...wahenga wabaya sana, eti wagombanao ndio wapatanao, tukaaminishwa hivyo na Mahondaw
Hapana sijaiona...hweee kwahiyo ni mwendo wa short cut and dry tu...yaraaaaaaauuuuuwiiiiiiiiiiAaaaah! Inamaana jana wewe haujapatasikia karamu ya jubilee sijui anniversary ya Smart na Mahondaw? Sasa ikaibuka episode kwamba mwanzonimwanzoni walikua wanakwaruzana sana na figisufigisu nyingii baadae vumbi likatulia wamekua mwili mmoja.
Tokea jana naona watu wanajibizana short short tu alimradi wakwaruzane wafungue ukurasa mpya.
Demiss plz naomba umsamehe. Unless unihakikishie kuwa majira kama haya mwakani nanyi mtatuletea mrejesho kama wa smart na mahondawUmejisikia raha sana kuniharibia mood ya kuchat
Haya endelea kuenjoy ngoja nilale .
asante..Karibu,utatumia kinywaji gani Leo usiku?
😀😀😀😀🙄🙄[emoji23] [emoji23] [emoji23] una maanisha nini hapo? Hebu fafanua vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchochezi huu [emoji20][emoji125][emoji15]
Umejisikia raha sana kuniharibia mood ya kuchat
Haya endelea kuenjoy ngoja nilale .
Hapana sijaiona...hweee kwahiyo ni mwendo wa short cut and dry tu...yaraaaaaaauuuuuwiiiiiiiiii