Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
hiyo ya kulia ndio yaitwaje??![]()
Demiss ndan ya lindooo
hiyo ya kulia ndio yaitwaje??![]()
Demiss ndan ya lindooo
Aisee kwa mazingira ninayoenda saiv na nguo ninazovaa haipendezi viatu vifupi hapa ngoko zinauma hatarVaa vyenye visigino vifupi
Utachelewa kazin wewenaona popoz wamerudi kwa kasi mpya![]()
Jitahidi kula maana hayo mambo unayo kunywa bila msosi ni hatari sanaNaomba kiporo leo nimelala bila kula mbn kama tumbo linauma tena





Mazingira niliyopo huwez vaa viatu vifupi kabisa mpaka nizoeee tena uwii yan msuli unauma balaaaAcha na viatu virefu mama au uwe unabadili virefu kwa vifupi
Anipeleke wapi mkuu au ananilindaAaaaa wapi najua mwifwa unamsubiria demis
Lukwafya
sina mpango wa kuwahi kesho mamaUtachelewa kazin wewe
Konyagi ya kichina hiyohiyo ya kulia ndio yaitwaje??
Sijala kabisa yan kiukweli ngoja nilale nasikia kabisa maumiv ya tumboooJitahidi kula maana hayo mambo unayo kunywa bila msosi ni hatari sana
alc %ngapiKonyagi ya kichina hiyo
Itabidi uzoeee tu, kwa sababu unaweza kupata shida hapo baadae. Jitahidi tu cha madeko wanguMazingira niliyopo huwez vaa viatu vifupi kabisa mpaka nizoeee tena uwii yan msuli unauma balaaa
Mm namruhusu tu uzur nimelala naye hata akichat kuna tatizohivi unaweza kumruhusu manzi wako au msela wako ashike a chat this time kama mpo wote![]()
Haya mm nalala bhn njaaaasina mpango wa kuwahi kesho mama
Unaweza kupata usingizi wakati una njaa?Sijala kabisa yan kiukweli ngoja nilale nasikia kabisa maumiv ya tumbooo
homework mnafanya saa ngapi SASAMm namruhusu tu uzur nimelala naye hata akichat kuna tatizo

I guarantee you hutalala..........usingizi na njaa ni maji na mafuta they can't mix up togetherHaya mm nalala bhn njaaaa
