Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
PoaNini Mwifwa?
Mi picha yako nitaitoa wapi jamani?Au thad ni kweli?
Kwa kweli usiku ungekuwa mrefu. Mambo?nipo hap tayar
Tunakesha hatuna usingiziKuna watu humu kila cku wapo macho
Siku ya 3 nakuona uck wa magizaWataje!
Mbali sanMmmhhh
weka mbali na watoto
Lidumu lindo letuMamboz
AsanteeePole
Hizo ni sifa za mlinziKuna watu humu kila cku wapo macho
SitakiSuka mabutu
Inamaana hujui kuwa mimi ni bundi? Kukesha ni jadi yanguSiku ya 3 nakuona uck wa magiza

Ndio hapo sasa. Tuachane na hayo au nikutumie hiyo pichaMi picha yako nitaitoa wapi jamani?
Aiseee nakuona tuHizo ni sifa za mlinzi
Egesha tu geti utalikutajamani nafunga mageti naona wote mshalala
Litadumuje wakati No Escape mwenye nalo kalikimbia?Lidumu lindo letu
Utakuwa umefanya la maanaNdio hapo sasa. Tuachane na hayo au nikutumie hiyo picha
Nitaleta mrejesho baada ya kukutana na woteKwahiyo unataka ufanye tathmini yanani zaidi kati yangu na yake?
Poah naona miguu inanizingua nina week mbili navaa maviatu marefuKwa kweli usiku ungekuwa mrefu. Mambo?
SawaAsanteee