Heri wewe umesamehe,mie nimemkosea MTU huyo,hy mikausho yake nimekoma,pamoja na kuomba msamaha
huyo anataka umzukie PM kama Smart na MahondwaNiko hapa skani km kawa huku kiduka cha mangi,pale sadali Bonge,usiku mnene konyagi ,mixer tunachambua tunanyonga kisha.....wakija noma kwaoKaribu kilingeni
Mmmh huko unaweza kucheza michambo wenyewe wanaita![]()
![]()
huyo anataka umzukie PM kama Smart na Mahondwa
Usiondoke bwana, subiri kidogo ili kama Demiss hatakuja unipe msaada wewe
Macho yameanza kufumba fumba mpenziUsiondoke bwana, subiri kidogo ili kama Demiss hatakuja unipe msaada wewe
Mie mzima Niko km kawa na baba chanja hapa ,mdg mdg
Jaribu bahati yako, lakini pia usisahau kupenyeza rupia penye ubia!Mmmh huko unaweza kucheza michambo wenyewe wanaita
Oohooo...basi mamy, lala zakoMacho yameanza kufumba fumba mpenzi
Rupia yeye tu ,sasa MTU anakupa mikausho mikali hy rupia inapenyaje ,aaaarghJaribu bahati yako, lakini pia usisahau kupenyeza rupia penye ubia!
Tumia intelijensia, atakuelewa tuRupia yeye tu ,sasa MTU anakupa mikausho mikali hy rupia inapenyaje ,aaaargh
Hahahaha, hapana bana mangi ananiambia sio zali,nielewe tuTumia intelijensia, atakuelewa tu
Afadhali shost angu umekuja![]()
Demiss ndan ya lindooo
Demiss popote ulipo, nakuomba....nina shida ya haraka na wewe!




nimekuja nimesikia saut yakoooLakini kumbuka kuwa za kuambiwa inabidi uchanganye na zako....Hahahaha, hapana bana mangi ananiambia sio zali,nielewe tu
Nashukuru kwa kuitika wito...nimekuja nimesikia saut yakooo
Nimekuja kwa mwendo kasi moyo unadundaAfadhali shost angu umekuja
Ohooo kumbe ni my wako?kalala my onyinye msimsumbue![]()
![]()
![]()
![]()