HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Pole. Ulale salamaWapendwa mm nalala nahisi njaa kabisa nikibak macho nitateseka sana muwe na usiku mwema nawapenda ila maumivu ya njaa yamenipenda zaidi
Pole. Ulale salamaWapendwa mm nalala nahisi njaa kabisa nikibak macho nitateseka sana muwe na usiku mwema nawapenda ila maumivu ya njaa yamenipenda zaidi
ZZZZZZI guarantee you hutalala..........usingizi na njaa ni maji na mafuta they can't mix up together![]()
![]()
![]()
Ili kitokee Nini?hivi unaweza kumruhusu manzi wako au msela wako ashike a chat this time kama mpo wote![]()
huwezi kuruhusu enheeIli kitokee Nini?
tupo leta habariNaona popo mmehama sijui
Kumbe muda huu mnajificha huku?Naona popo mmehama sijui
Ulijuaje mkuuKumbe muda huu mnajificha huku?
Tupo karibuNaona popo mmehama sijui
No escapemaserati