Njaa ipi?Wapendwa mm nalala nahisi njaa kabisa nikibak macho nitateseka sana muwe na usiku mwema nawapenda ila maumivu ya njaa yamenipenda zaidi
NipoNaona popo mmehama sijui
OKItaendeleaaa!
Namna hivyo ndivyo popo wanavyokuja lindoniperception tuliyojijengea ndio inafanya tuhisi njaa mkuu.........na mazoea ya matumbo yetu
Sasa kimekuwa cha baridi sana, utaharibu tumboNaomba kiporo leo nimelala bila kula mbn kama tumbo linauma tena
Kwa nini ujiumize hivyo?Aisee kwa mazingira ninayoenda saiv na nguo ninazovaa haipendezi viatu vifupi hapa ngoko zinauma hatar
NipoNaona popo mmehama sijui
MwifwaMwifa...