JamiiForums Usiku wa manane
Ha ha ha.... Nashukuru kwa kupenda tuendelee kuheshimiana maana kwa wanaonijua wanasema kipigo nachotoa victim huwa anakuwa kama amedondokewa na bomb la Nyuklia lenye uzito wa tani 1000

Na hutokosa usingizi maana utalala milele.
tehteehh.....
Umetisha sana GuDume
Lakini vipi yule uliempa siku kadhaa akutafute ili myamalize kuhusu ile story yenye alikupora??!!
 
Back
Top Bottom