Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,062
- 110,706
Hao wa Dar achana nao kabisa mkuu, siwezi kukugawa kwa wakula chips wallah....[emoji2] [emoji2]Oooh! Kwa Yesu sawa,nilidhani unataka unigawe kwa hawa wanabongo daresalam
Hao wa Dar achana nao kabisa mkuu, siwezi kukugawa kwa wakula chips wallah....[emoji2] [emoji2]Oooh! Kwa Yesu sawa,nilidhani unataka unigawe kwa hawa wanabongo daresalam
Mimi ndio nawataka wa Dar ili nipumzike haya maisha ya huku Nanjilinji [emoji18] [emoji18] [emoji18]Hao wa Dar achana nao kabisa mkuu, siwezi kukugawa kwa wakula chips wallah....[emoji2] [emoji2]
Ohhhppppssss......Mimi ndio nawataka wa Dar ili nipumzike haya maisha ya huku Nanjilinji [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Zikija sitajivunga hata, maana haya maisha ya kula kwa jasho kama mwanaume.....nishayachoka!Ohhhppppssss......
Tayari wamesha ona tangazo, jiandae kupokea PM za kutosha haki...[emoji12] [emoji12]
Eti nanjilinji[emoji28] dah,unapajua lakini??Mimi ndio nawataka wa Dar ili nipumzike haya maisha ya huku Nanjilinji [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Nitaachaje kupajua wakati nimezaliwa huku, nimesoma huku na hata sasa niko huku [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti nanjilinji[emoji28] dah,unapajua lakini??
Wacha utanii....mm mitaa yangu hiyo ujueeNitaachaje kupajua wakati nimezaliwa huku, nimesoma huku na hata sasa niko huku [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli?Wacha utanii....mm mitaa yangu hiyo ujuee
Haswaah,.tufanye hivyo wakunyumbaKweli?
Kukicha nitakutafuta tufahamiane vizuri, ukute tu majirani
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Haswaah,.tufanye hivyo wakunyumba
Bado kabisaaaaaaahatimaye mmelala....kijiwe cheupeee!
nilivyoona kimya nikajua mmeshakikimbia kijiwe..Bado kabisaaaaaaa
Bado mapema,..teh teh!!!nilivyoona kimya nikajua mmeshakikimbia kijiwe..
ila naona mmebaki wawili tu
hahaha kwa hiyo wewe huna mpango wakukimbia kijiwe muda wowote kuanzia sasa?Bado mapema,..teh teh!!!
Bado labda chaji iniangushee,.hahaha kwa hiyo wewe huna mpango wakukimbia kijiwe muda wowote kuanzia sasa?
wacha nikusindikize mpaka itakapokuishia..Bado labda chaji iniangushee,.
Haahahha,..ulikuwa wapi ww!?wacha nikusindikize mpaka itakapokuishia..
mi ndio kwanza nimeingia jamvini
likizo fupi ya jf..lolHaahahha,..ulikuwa wapi ww!?
Wacha weee,so ndio umerudi rasmi??karibu jamvini japo wadau wameangusha dudelikizo fupi ya jf..lol