Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,781
asante..Wacha weee,so ndio umerudi rasmi??karibu jamvini japo wadau wameangusha dude
kukaa humu jamvini muda huu ni kipaji ujue...sio wote wanacho
asante..Wacha weee,so ndio umerudi rasmi??karibu jamvini japo wadau wameangusha dude
Kweli mkuu,.asante..
kukaa humu jamvini muda huu ni kipaji ujue...sio wote wanacho
sijakuona humu kijiweni kitambo...nilikuwa nakuona kwingine huku ukawa unakukimbia enh??Kweli mkuu,.
Kweli,nikiwa sijui kinachojadiliwa huwa nakaa chonjo Mara nyingisijakuona humu kijiweni kitambo...nilikuwa nakuona kwingine huku ukawa unakukimbia enh??
hahahah si unaingia na kuanzisha yako tuKweli,nikiwa sijui kinachojadiliwa huwa nakaa chonjo Mara nyingi
Aaah,.me naona sio poa kiviile[emoji18]hahahah si unaingia na kuanzisha yako tu
kweli lakini..Aaah,.me naona sio poa kiviile[emoji18]
hahahah bado sana bossNafunga geti
Mlinzi nipo Hapa, nakulinda tuKweli,nikiwa sijui kinachojadiliwa huwa nakaa chonjo Mara nyingi
Mbona mapema MzeeBaba?Nafunga geti
Ww ni mlinzi bora sana,.good morning!!!Mlinzi nipo Hapa, nakulinda tu
Anaharaka mzee baba[emoji28] [emoji28]Mbona mapema MzeeBaba?
Au siyo mkuu...[emoji6] good morning lakini nilikuacha kidogo.kweli lakini..
basi walau usalimie halafu unateleza zako
Niachie funguo mzee baba ntafunga tuu mm leo[emoji4]Nafunga geti
Hapana, nimerudi kufunga rasmi sasa.Niachie funguo mzee baba ntafunga tuu mm leo[emoji4]
Nasubiria aondoke zake tubaki pekeetuNiachie funguo mzee baba ntafunga tuu mm leo[emoji4]
good morning to u too..Au siyo mkuu...[emoji6] good morning lakini nilikuacha kidogo.