Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kakususa au yuko na .....Hmm wewe shilawadu no2![]()
Naona kanisusa
Kakususa au yuko na .....Hmm wewe shilawadu no2![]()
Naona kanisusa
PoaWadau niaje
Ingia kati tucheze...Mubashara
Haya karibundo nimekuja leo bundi wangu
Tunaanzia wapi
Anzia popote unapojisikia, hili ni shamba la bibi usiogopeTunaanzia wapi
Yupo na nanKakususa au yuko na .....

nishakaribia..Haya karibu
Ohoooo hutaki tena tuteleze wote?nishakaribia..
japo nahisi kuteleza muda wowote kuanzia sasa🙁
Na mtakatifu.....Yupo na nan![]()
Leo mbona hujamwita kwa madoido?Maserati!
Asante ngoja nilale tu, maana hamna namnaNa mtakatifu.....
Jamani pole....Asante ngoja nilale tu, maana hamna namna
Wajanja wameniharibia, nikidekoreti inatoa maandishi ya vibwengo, nahisi nikiendelea dear wangu ataumia!Leo mbona hujamwita kwa madoido?
Goma unaliweza weweIngia kati tucheze...
wewe ndio unanifanya niendelee kuwepo hapa..Ohoooo hutaki tena tuteleze wote?
😀😀😀Wajanja wameniharibia, nikidekoreti inatoa maandishi ya vibwengo, nahisi nikiendelea dear wangu ataumia!