Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Aaah wengine bado washamba tunajifanya ndoo tuu inatosha,.mweh!!! Basi baridi inapeeenyaaaajee mpaka kwenye ateri ya renali....Hapo ndio utapoelewa maana ya usemi wa makungwi kuwa, 'mwanamke kidumu'
