HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nilitaka ku confess kwako ila ukaingia mitiniUnajua sababu, nilishasema tangu jana
Nilitaka ku confess kwako ila ukaingia mitiniUnajua sababu, nilishasema tangu jana
Nafurahi kukuona kilingeni. Jana nilikuwa na Manga MLWana wapotecu twarudi
Mmmmh! Sio kweliNilitaka ku confess kwako ila ukaingia mitini
Jamani nilichoka nikalala mapema,nikamkosa baba chanja...nimemmiss Hatari hatariiiNafurahi kukuona kilingeni. Jana nilikuwa na Manga ML
Tata kivipi?Popoz niko kwenye mazingira tata sijui nafanye je?
Ni kweli kabisa hakuna hata chembe ya uongoMmmmh! Sio kweli
MagegoWewe meno yapi yanaendelea kuota? Magego? Meno ya mbele? Ya juu? Ya chini?
Haya bwanaNi kweli kabisa hakuna hata chembe ya uongo
HunNi kweli kabisa hakuna hata chembe ya uongo
Unaelendeleaje mpendwa?Popoz mlioniombea jana asanten sana nawapenda sana
Mwite, anaweza kujaJamani nilichoka nikalala mapema,nikamkosa baba chanja...nimemmiss Hatari hatariii
Umepona mama
Kwa umri huo haustahili magego kuota, hapo kuna tatizoMagego
Ahsante kushukuruPopoz mlioniombea jana asanten sana nawapenda sana
Nadhani mwezi ujao nitakuwa namba 1 humuSijambo hofu kwako.
Nakuona tu unavyodhidi kwa mtoro
Naendelea vizur namshukuru mungu nilikuwa imara katk kufukia msos na majiUnaelendeleaje mpendwa?