HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Popo mmelala?
Bado sijalala, ndio naingia lindoni muda huuNaona wamelala
Karibu kitiNimeshakaribia mkuu
Nimeshakaribia. Naomba Heineken ya baridi kabla hatujaendelea na mazungumzoKaribu kiti
Bado sijaegeshaPopo mmelala?
Kwema ndugu?Bado sijaegesha
Heeeeeee.Nimeshakaribia. Naomba Heineken ya baridi kabla hatujaendelea na mazungumzo
Mungu ni mwemaKwema ndugu?
Kwahiyo mnakaaje lindo bila kuonja? Au ndo mwendo wa viroba?Heeeeeee.
Hiyo hatutumii huku lindoni tutaibiwa tukilewa
Mwendo wa soga tuKwahiyo mnakaaje lindo bila kuonja? Au ndo mwendo wa viroba?
Kwema mkuu.Kimya huku ndani. Kwema?
Amaaa.Mwendo wa soga tu
Ndio hivyo lazima ukubaliane na haliAmaaa.
Ni noma kiongoziKwema mkuu.
Kwa baridi hii, walinzi lazima watakuwa wachache.
Mi sijazoea kukesha hivyo.Ndio hivyo lazima ukubaliane na hali
Tunakesha wote usijali utazoea tuMi sijazoea kukesha hivyo.
Kukesha hata karanga hamnaTunakesha wote usijali utazoea tu
Soga nazo ni tamu sana bana.Kukesha hata karanga hamna
Kiongozi, walinzi tupo wakutosha....usiogopeKwema mkuu.
Kwa baridi hii, walinzi lazima watakuwa wachache.