JamiiForums Usiku wa manane
Nifunge mlango au
Bado muda wa kufunga mlango
Mm hadi sasa sijalala ninawaza hivi Kwann kusingefanyika mabadiliko usiku likawaka jua na mchana ikawaka mbalmwezi ingekua poa sana kwan joto limezidi Dar
Uko lindo au sio?
Sasa naona kuna utulivu humu ngoja nikaegeshe kwanza, nitarejea baadae...

Usiku mwema!!
Haari za asubuhi ndugu zangu..
 
Back
Top Bottom