Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Mlinzi huwa hasinzii ila anaegeshaTuwachanganye au tuwa amshe maana wengi wao saa hizi washa sinzia
Mlinzi huwa hasinzii ila anaegeshaTuwachanganye au tuwa amshe maana wengi wao saa hizi washa sinzia
Nidhamu kazini![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa komredi
Nikamwite naona kama ananiita halafk net imeanza kusumbua. Mlale salamaMmh, huko sasa unakoelekea sio, ngoja nimwambie dirty head apunguze kasi![]()
Kabisa, Ticha komredi, naona mwanafunzi wako Thad umeamua umwamishe shule kabisaNidhamu kazini
Nishakuzoea bana, kila nikiingia na wewe unatoka.Wach
Nikamwite naona kama ananiita halafk net imeanza kusumbua. Mlale salama
Sitaki kupata aibu mimi, akaaibishe wengine hukoKabisa, Ticha komredi, naona mwanafunzi wako Thad umeamua umwamishe shule kabisa
Mlale salama, ila mkumbuke huu ni mwezi wa toba, hivyo mambo yote yafanyike kwa kiasiWach
Nikamwite naona kama ananiita halafk net imeanza kusumbua. Mlale salama

Hahaha naona umeamua kuaply ile tekinik ya kunyang'anya kilongalonga mpaka afauluSitaki kupata aibu mimi, akaaibishe wengine huko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiHahaha naona umeamua kuaply ile tekinik ya kunyang'anya kilongalonga mpaka afaulu![]()
![]()
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Lazima tumkome akija, maana kiu ya muda wote ambao hakuwepo lazima aifidie![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shida ni utakavyomrudisha hewani utaona hizo tambo zake
Lazima tumkome akija, maana kiu ya muda wote ambao hakuwepo lazima aifidie
Sasa naona kuna utulivu humu ngoja nikaegeshe kwanza, nitarejea baadae...![]()
![]()
![]()
Kabisa komredi.
Siku izi naona maveterani wa kilinge wamezidiwa na majukumu, nakutakia kuegesha kwema, Mimi ngoja niendelee kuangaza macho kidogoSasa naona kuna utulivu humu ngoja nikaegeshe kwanza, nitarejea baadae...
Usiku mwema!!
Baby shemWach
Nikamwite naona kama ananiita halafk net imeanza kusumbua. Mlale salama
Aisee there is work ( kazi ipo)Yaan sijui nimelishwa nn maana sisikii wala kuambiwa chochote nielewe, ungekuwa sio kaka ningekuahadithia yaliyonikuta
na wewe hujambonji tu?Nipo hapa bundiz siku zote ni masingle
Uko lindo au sio?Siku izi naona maveterani wa kilinge wamezidiwa na majukumu, nakutakia kuegesha kwema, Mimi ngoja niendelee kuangaza macho kidogo