carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Hapo kwenye dogs inabidi tuweke mbuzi ama ng'ombeWote hao wapo. Mi nafuga dogs.
Hapo kwenye dogs inabidi tuweke mbuzi ama ng'ombeWote hao wapo. Mi nafuga dogs.
Ooops nilikusahau jamani![emoji18] [emoji18] [emoji18]Hatari
Wapo humu wakose tena wewe andaa usaili tuKwanini?
Ina maana hakuna mwenye sifa tajwa hapo juu?
Bidhaa adimu huku kwetu.Hapo kwenye dogs inabidi tuweke mbuzi ama ng'ombe
Asante salama lakin hukoPole dingi
Tanzania ya viwonder naona na watu wake sasa wanaelekea huko huko kuwa wanaviwonder![emoji23] [emoji23] [emoji23] kuonja hapana,nataka wa jumla jumla
Thubutu, nikutambulishe wewe?Aiseh!
Ukimpata nitambulishe kwake[emoji12]
Salama kabisa sijui hukoAsante salama lakin huko
Kizuri kula na nduguyo bhana[emoji12][emoji12]Thubutu, nikutambulishe wewe?
Naogopa kuibiwa, kwa lips zako hizo hatakuwa salama
Atanisaidia nini huyo mtu?Tanzania ya viwonder naona na watu wake sasa wanaelekea huko huko kuwa wanaviwonder!
Lakini kuna mtu mmoja namjua anaweza kukusaidia, anaitwa mshana jr. Huyu hajagi pande hizi ila huko aliko ana solution!
Huku safi na salama vp weekend ilikuajeSalama kabisa sijui huko
Naomba nianze na wewe [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wapo humu wakose tena wewe andaa usaili tu
Bora hata umenisahauOoops nilikusahau jamani![emoji18] [emoji18] [emoji18]
Atakurahisishia kujua huyo mpendwa wako alipo kwa kupiga tunguli. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Atanisaidia nini huyo mtu?
Hujui utamu wa nyama ya mbwa best....ng'ombe haoni ndani [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapo kwenye dogs inabidi tuweke mbuzi ama ng'ombe
Miss u pimbiAiseh!
Ukimpata nitambulishe kwake[emoji12]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] kwanini jamani?Bora hata umenisahau
Safi kabisa ila fupi kama kawaida[emoji17][emoji17]Huku safi na salama vp weekend ilikuaje
[emoji3] [emoji124] [emoji124]Naomba nianze na wewe [emoji12] [emoji12] [emoji12]