Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Naona hali ya lindo inaanza kuchafukaHallo kitumbua kinauma Nina jipu uchunguu sjui limetoka wapi? Au Kwa sababu nilitumia Gillette msaada kwenye tuta tafadhali
Me mwenyew sina lkn sinywiHhaahahahahah innaaaa sina man dadangu bora nilewee tuu
Matatizo ya kunyoa upara ndio hayo. PoleeeeeeeHallo kitumbua kinauma Nina jipu uchunguu sjui limetoka wapi? Au Kwa sababu nilitumia Gillette msaada kwenye tuta tafadhali
Kwema, wot about youMambo
Nimeghairi, sitamtaja bali nitaleta bandiko la kutafuta "mupenzi" hapa, japo nitataja sifa za huyo niliyemfia.Hujamtaji wakt umepewa kiporo
Anyoe kiduku ee??Matatizo ya kunyoa upara ndio hayo. Poleeeeeee
Aaah mm leo tuu halafu niko karibu na home,yaani hapa namalizia ya mwisho nisepe...Me mwenyew sina lkn sinywi
Cool mkuu,karibuKwema, wot about you
Muone MziziMkavuSamahani kama kuna mtu anaejua dawa ya jino ya asili/miti shamba naomba anitajie
MmmhNimeghairi, sitamtaja bali nitaleta bandiko la kutafuta "mupenzi" hapa, japo nitataja sifa za huyo niliyemfia.
Hivyo wenye kuelewa mtaelewa tu.
Stay tuned, nitamtaja siku si nyingi japo itakuwa indirectKila siku unatuambia moyo unakufwa kwa kuzimikia mtu ilihali humtaj, huoni ni fix hiyo?
Akikoroma huo ni wimbo, wewe cheza tu kigodoro![]()
![]()
![]()
![]()





AiseeeeAaah mm leo tuu halafu niko karibu na home,yaani hapa namalizia ya mwisho nisepe...
Itapoah sasa jamanMatatizo ya kunyoa upara ndio hayo. Poleeeeeee
Aisee,Hallo kitumbua kinauma Nina jipu uchunguu sjui limetoka wapi? Au Kwa sababu nilitumia Gillette msaada kwenye tuta tafadhali
Acheni kunywa pombe, madhara yake ni pamoja na kitambi na magonjwa moyo.Hhaahahahahah innaaaa sina man dadangu bora nilewee tuu