HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nalisubiri hilo bandiko au nitangaze nia mapemaNimeghairi, sitamtaja bali nitaleta bandiko la kutafuta "mupenzi" hapa, japo nitataja sifa za huyo niliyemfia.
Hivyo wenye kuelewa mtaelewa tu.
Nalisubiri hilo bandiko au nitangaze nia mapemaNimeghairi, sitamtaja bali nitaleta bandiko la kutafuta "mupenzi" hapa, japo nitataja sifa za huyo niliyemfia.
Hivyo wenye kuelewa mtaelewa tu.
Kwann tenaNaona hali ya lindo inaanza kuchafuka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi naendelea kuvuta subira tu kama sio Indian hemp..Nimeghairi, sitamtaja bali nitaleta bandiko la kutafuta "mupenzi" hapa, japo nitataja sifa za huyo niliyemfia.
Hivyo wenye kuelewa mtaelewa tu.
Hhaahahahha kwa mwaka Mara 2,.hapa mpaka November mkuuAcheni kunywa pombe, madhara yake ni pamoja na kitambi na magonjwa moyo.
Bora umesemaaAcheni kunywa pombe, madhara yake ni pamoja na kitambi na magonjwa moyo.
Demi ulitumia topaz niniItapoah sasa jaman
Hallo kitumbua kinauma Nina jipu uchunguu sjui limetoka wapi? Au Kwa sababu nilitumia Gillette msaada kwenye tuta tafadhali







kweli nimeamini Valentine day ya Majivu yajaVipAisee,
Kaamua nn??![]()
![]()
Leo kweli mumu kaamua
Tumia black seed oilSamahani kama kuna mtu anaejua dawa ya jino ya asili/miti shamba naomba anitajie
Kunywa ngumuKaamua nn??

Set frequency vizuri na uadjust vibration utauona mziki wake wenye tone murua kabisaKiuno kinauma maana mkoromo wenyewe sio rhythmic
Kesho kuna kitchen party kwaito itanishinda bure
Nataka ile kesto yenye maziwa, kule kwetu ulaya vijijini tunaita kesto milikiAkitoka kwangu atakuletea safari mkuu, serengeti light zimeisha....
Gillette na ilinikata kidogo Wewe kanyama kaliuma hatar wala sikuvaa pichuuu siku 2 maana nilijisikia watofaut mwepesiDemi ulitumia topaz nini
Kuna vipara vingine ni vya kudumu, vikisikia harufu ya maneno hayo vinauumukaKwann tena
Nafanyaje hebu nielekezeTumia black seed oil
Hahahahaha maandalizi kabla ya mtihani![]()
kweli nimeamini Valentine day ya Majivu yaja
HayaHhaahahahha kwa mwaka Mara 2,.hapa mpaka November mkuu