Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
View attachment 693741
Usiposhiba useme nikuongezee
mboga gani hizo? Mimi sio mpare wa kula kwa picha, kama kweli wanijali fanya mpango nipate kula
View attachment 693741
Usiposhiba useme nikuongezee
mboga gani hizo? Nipo mkuu ila nipo huku chaka katavi c unajua bado papo primitive hata stima hakuna mkuuNilikumiss mwanakwetu!
Mulenda huo.![]()
![]()
mboga gani hizo?
Mimi sio mpare wa kula kwa picha, kama kweli wanijali fanya mpango nipate kula
Aiseee hujui hyo mboga we wa wapi![]()
![]()
mboga gani hizo?
Mimi sio mpare wa kula kwa picha, kama kweli wanijali fanya mpango nipate kula
Walaah hii bahati ni yangu mie ngoja nisubirNjaa inaniuma kama umebakiza kiporo naomba nile nikishiba nimtaje nimpendae hapa, potelea popote liwalo na liwe....akinielewa sawa akiniona mhuni basi!
Hata mimi namshangaa kabisaAiseee hujui hyo mboga we wa wapi
Atakuwa wa kule kwenu kwenye ule mlima mrefu kabisa africa bila shakaAiseee hujui hyo mboga we wa wapi
Poa, nasikia ulikuwa unauguzaMambo rafiki!
InawezekanaAtakuwa wa kule kwenu kwenye ule mlima mrefu kabisa africa bila shaka
Wanyaturu na warangi huwatoi apoHata mimi namshangaa kabisa
Mkuu wapi dingi,kichwa kichafu,demiss etalMulenda huo.
Ukiambiwa karibu ofisini hutaki, bora ule kwa macho
Acha uchawi wewe....Wanyaturu na warangi huwatoi apo
Nkajua usingizi umekupendaa....nipoo huyo Thad alikudanganyaPoa, nasikia ulikuwa unauguza
Pamoja na wanyiramba mkuuWanyaturu na warangi huwatoi apo
Niligongana nao mida ya mchana sijui wamemezwa na wikiendMkuu wapi dingi,kichwa kichafu,demiss etal
Dingi anaumwa...demiss yupo anakunywa,kichwa kichafu anabebikaMkuu wapi dingi,kichwa kichafu,demiss etal
Nmekugusa nn??Acha uchawi wewe....
Aisee Thad hanitakii mema.Nkajua usingizi umekupendaa....nipoo huyo Thad alikudanganya
Ukiacha uchawi ndio hutonigusaNmekugusa nn??
Kabisaa amekupa tu presha bureAisee Thad hanitakii mema.