Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
AminaaNina endelea vizuri
AminaaNina endelea vizuri
Asante, naona kazi inaendelea vyema.Karibu sana mkuu
He heeeEbu ishia hapo, hapa nitalowanisha sakafu kwa saliva amylase
Naona msosi wangu umeususa, sawa tu...Jamani njaa imenizidia,wacha nikubali kuwa leo ndio nimeshakosa riziki hivyo, wacha niendelee kuhesabu fito za paa la banda nililolalia yamkini Mola atanipa kula kukicha.
dingi mtoto na HB wa kigogo poleni sana. Mungu awarejeshee afya zenu tena. Nawapenda,nawamiss sana.
Huku ndio uzalendo wenyewe.Asante, naona kazi inaendelea vyema.
Asante kwa kujali. Kwema?Jamani njaa imenizidia,wacha nikubali kuwa leo ndio nimeshakosa riziki hivyo, wacha niendelee kuhesabu fito za paa la banda nililolalia yamkini Mola atanipa kula kukicha.
dingi mtoto na HB wa kigogo poleni sana. Mungu awarejeshee afya zenu tena. Nawapenda,nawamiss sana.
Kwema kabisa, hofu kwakoAsante kwa kujali. Kwema?
Hana njaa huyoNaona msosi wangu umeususa, sawa tu...
Sijasusa, ila kula kwa picha yataka moyo wa kipare!Naona msosi wangu umeususa, sawa tu...
Mimi naendelea vizuri. Mambo yanaendajeKwema kabisa, hofu kwako
Hujamtaji wakt umepewa kiporo![]()
![]()
jamani Inna, wapi nilipopiga fix?
Kila siku unatuambia moyo unakufwa kwa kuzimikia mtu ilihali humtaj, huoni ni fix hiyo?![]()
![]()
jamani Inna, wapi nilipopiga fix?
Naumia sana kuona wadau wangu hamniamini kiasi hikiHana njaa huyo
ShauriyeeeHana njaa huyo
SawaSijasusa, ila kula kwa picha yataka moyo wa kipare!
Kuna nini tena thadNaumia sana kuona wadau wangu hamniamini kiasi hiki
Ulikuwa wap kipindi wenzio wanakulaJamani njaa imenizidia,wacha nikubali kuwa leo ndio nimeshakosa riziki hivyo, wacha niendelee kuhesabu fito za paa la banda nililolalia yamkini Mola atanipa kula kukicha.
dingi mtoto na HB wa kigogo poleni sana. Mungu awarejeshee afya zenu tena. Nawapenda,nawamiss sana.
Ndo hapo sasaKila siku unatuambia moyo unakufwa kwa kuzimikia mtu ilihali humtaj, huoni ni fix hiyo?