Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Wap sasa weekend hiiWeekend on fire
Wap sasa weekend hiiWeekend on fire
Najua upo ila hujashtuka tu mda umefikaaNani yupo lindoni sasa hivi....
Huyo aliyefungua geti kabla ya muda......Bata batani
Na ww unayeona mda umefika umetulia mpk nkufuate na fimboHuyo aliyefungua geti kabla ya muda......
Naiomba nijitibu kabla sijafaNdio
Nilikuwa nimenogewa na udaku kijiweniNa ww unayeona mda umefika umetulia mpk nkufuate na fimbo
Mambo mdada!Naiomba nijitibu kabla sijafa
Hutaki kunizimikia bora nikuache tu upambane na hali yakoNaiomba nijitibu kabla sijafa
Mmmh mtoto wa kiume na udaku hapendezi au ndo wanaume wa .....mlivyo????Nilikuwa nimenogewa na udaku kijiweni
Poa,mamitoh!Mambo mdada!
Hahahahahahaaaa.Mmmh mtoto wa kiume na udaku hapendezi au ndo wanaume wa .....mlivyo????
Ata sijui hali zao walikua wagonjwaaPoa,mamitoh!
Uwapendao hawajambo?
Haya nmekufichia mana we ni mshikaji wanguHahahahahahaaaa.
Nifichie aibu basi....