HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
AasantePoyeee mgonjwa japo hujaniambia
AasantePoyeee mgonjwa japo hujaniambia
Hapana Mkuu. Yaani nikilala ni moja kwa moja na kama inatokea siku nashtuka basi ndani ya dk 5 nishashikwa na usingizi.
Hahaaaaa. Hao hawawezi nipata aisee sababu kabla ya kulala ni lazima nisome Dua kwa imani ninayoiamini hivyo nadhani hiyo ni sababu hawanipatagi hao yaani nikilala nimelala.Nzuri ,usiombe mchana Jr akuwangie usiku uanze kuota ndoto za ajabu ajabu ukose usingizi haha
Ooh! Ndio maana nikaona kimya asee, ila sio mbayaHahaaa. Mie huwa nawahi sana kulala rafiki.
Kumbe ulikuwa zamu...[emoji12] [emoji12]Mi mlinzi nakusanya virago vyangu!
Hahaaaa. Umeonaeee.Ooh! Ndio maana nikaona kimya asee, ila sio mbaya
Nipo mtu chake,.za asbh!?
Kwakwel nimeona [emoji2]Hahaaaa. Umeonaeee.
Eimeen[emoji120]Na kwako pia
Eeeeh, ndgKumbe ulikuwa zamu...[emoji12] [emoji12]
Haya bana rafiki Uwe na siku njema.Kwakwel nimeona [emoji2]
Pole na hongera sana[emoji6]Eeeeh, ndg
ahsante sanaPole na hongera sana[emoji6]
NzuriNipo mtu chake,.za asbh!?