JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimelala mapema nimezima taa, nashtuka saa hizi taa inawaka, mlango umefungwa vile vile kwa ndani na niko peke yangu bedroom.

Sasa nimeamua silali tena nakesha hadi alowasha taa aje kuzima .

Au atakuwa Mshana Jr nini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ha ha ha... Pole sana
 
Mtumie huyo vzr, uwe unaacha imewashwa.
 
Back
Top Bottom