Hahaha kipendacho roho hula nyama mbichi,sijali cha muhimu nitakua nimezama chumvini .nimeifaidNyoooo ukizama chumvini lazima utokeee na majani so usisahau kuweka stiki pembeni
Nimelala naomba uniwacheeeeee keshoooooHahaha kipendacho roho hula nyama mbichi,sijali cha muhimu nitakua nimezama chumvini .nimeifaid
Toka uje huku pembeni, hapa tutaamusha walio lalaUchochezi tena mm nawasubir mniletee kiwembe hamtak ngj basi nitoke bafuni mfurahi
Nitakuja asubuh kukonyoa.uwe umerelax kbsa.ata usiponituku sawa tu ntasubia after valentine day..hainaga makombo.ntakula kwa machoNgoja nilale kiwembe mmeninyima hiki kichaka nitakifanyia kazi keshoo valentine nataka nimtunuku mtu likitumbua
Hahaha ya kwangu magumu labdaa nitumie likijiko lile la greda la kuchota mchanga

Mbona sikiioni kwenye device yangu, ebu kaeke nikaone kinavyofananaOkey ,ila ushauri tu uwe unaweka kule cha kiume ,itapendeza
Na wewe pia!Usiku mwemaaaaaaaa

mkawe na siku njema yenye faida.Mi mlinzi nakusanya virago vyangu!Kumekuchaa,.good mornings wana familia ya jf...mkawe na siku njema yenye faida.
Na kwako piaKumekuchaa,.good mornings wana familia ya jf...mkawe na siku njema yenye faida.
Au unawahi kukimbilia cha kupata cha kulalia kwa shemeji niniHahaaa. Mie huwa nawahi sana kulala rafiki.
Hapana. Nimeshajizowesha tu Mkuu sababu napenda sana usingizi.Au unawahi kukimbilia cha kupata cha kulalia kwa shemeji nini
Aaah apo safi,hakuna siku usingizi unaishiaga njiani usiku?Hapana. Nimeshajizowesha tu Mkuu sababu napenda sana usingizi.
Hapana Mkuu. Yaani nikilala ni moja kwa moja na kama inatokea siku nashtuka basi ndani ya dk 5 nishashikwa na usingizi.Aaah apo safi,hakuna siku usingizi unaishiaga njiani usiku?
UpoKumekuchaa,.good mornings wana familia ya jf...mkawe na siku njema yenye faida.