Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka mfuata asali mwenyewe kakusikiaKumbuka kuchukua tahadhari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka mfuata asali mwenyewe kakusikiaKumbuka kuchukua tahadhari
Duh hamna linalo shindikana hata gorofa la udongo anajengaView attachment 690676
Aisee hata sifaham,ila ni kama maeneo ya Lindi au kanda ya kati
Nipo jichoNani yupo [emoji872][emoji872]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani baada tu ya kufyeka msitu kiuno kinauma?
Hebu ninong'oneze aliyejishindia tatu mzuka yako akakutengua na kiuno [emoji12] [emoji12] [emoji12]
NdioBado vipi una dawa, unitibu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hivi bado kuna wanaowanga bado mida hii??
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Leo bando linakata basi Natumia voda net inasumbua balaa nilishazoea airtel yangu
Muwe na lindo jemaaa nitawamiss sana
Mwifwa Thad HB wa kigogo
Na wengine mm nalala jaman japo ninaumwa kiuno hatar
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wooyoo woyo woyoooo
Carba weweweeeeee.......Popooooz
Nafungua geti
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mida ya bundi...popo wamelala
Nitumie ile pichaMida ya bundi...popo wamelala
Upo wewe MTU....Mida ya bundi...popo wamelala