JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo bando linakata basi Natumia voda net inasumbua balaa nilishazoea airtel yangu

Muwe na lindo jemaaa nitawamiss sana

Mwifwa Thad HB wa kigogo

Na wengine mm nalala jaman japo ninaumwa kiuno hatar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani baada tu ya kufyeka msitu kiuno kinauma?
Hebu ninong'oneze aliyejishindia tatu mzuka yako akakutengua na kiuno [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom