Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Sijarudi tena mpaka mwaka jana tulikuja kula kuku,nilibaki mwenye gari tu. Tukaagiza kuku tuafunga tukasepa. at least kuku zilinishawishi this time. Lakini sio kabisa hapo.Hahahaha
Sijarudi tena mpaka mwaka jana tulikuja kula kuku,nilibaki mwenye gari tu. Tukaagiza kuku tuafunga tukasepa. at least kuku zilinishawishi this time. Lakini sio kabisa hapo.Hahahaha
Hahaha ntakuwa nawapa kampaniBasi unafatilia kimya kimya wewe. uwe unaweka hata vi comment vi2 vi3. Maana wadada tupo mie na espy wangu tu..Na espy nae siku hizi hata simuoni oni sana.
Ha ha ha ha. Ndio mie sasa hivi naonaje aibu. Acha tu.Hahaha ntakuwa nawapa kampani
Kuna kipindi nilikuwa mdada mwenyewe mpaka nikawa naona aibu ikabidi niwe napita kimya kimya tuu
Asee,pole sana,mie hapa ndio last point yangu yakuelekea kulala ,nafuata bia tuSijarudi tena mpaka mwaka jana tulikuja kula kuku,nilibaki mwenye gari tu. Tukaagiza kuku tuafunga tukasepa. at least kuku zilinishawishi this time. Lakini sio kabisa hapo.
Haya kunywa.Asee,pole sana,mie hapa ndio last point yangu yakuelekea kulala ,nafuata bia tu
KaribuHaya kunywa.
Asante. Mie nipo kitandani tayari.Karibu
Ulale unonoAsante. Mie nipo kitandani tayari.
Wengine ndio tunaondoka,vizuri umefika ili nikukabidhiLeo nimechelewa kuingia lindo,nilikua napitia viporo vya thread ,habari wana jamvi
Asante,we piga vyombo.Ulale unono
asante sana,uwe na usiku mwemaWengine ndio tunaondoka,vizuri umefika ili nikukabidhi
Nawe piaasante sana,uwe na usiku mwema
Abee