Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Micasa hivi bado watu mnaenda hiyo sehemu. Duh!!! Nilishapa sahau aiseee.Mko wapi?Niko micasa ubungo hapa
Micasa hivi bado watu mnaenda hiyo sehemu. Duh!!! Nilishapa sahau aiseee.Mko wapi?Niko micasa ubungo hapa
Where to????
Ulale salama Mr handsomeNilikuwepo, salam kwa inna, Thad, ney, jje's, demiss bila kuwasahau wadau wote. Usiku mwema,muwe na weekend njema
Safiii. Missing you mingi mingi yaani.Mie mzima dear, habari za masiku tele jamani
Nilikuwa nazunguka zunguka kidogo, maana ndio nimeingia mpenziWhere to????
Karibu,nipo mlangoni Leo.Nilikuwa nazunguka zunguka kidogo, maana ndio nimeingia mpenzi
Missing you too swetie, kuna mida flani nilikuona mitaa yako ya series uko na espy nikaona nisiwasumbueSafiii. Missing you mingi mingi yaani.
Ha ha ha ha ha. Kule ndio kijiwe cha nyumbani kuleMissing you too swetie, kuna mida flani nilikuona mitaa yako ya series uko na espy nikaona nisiwasumbue
Asanteh sana jamani, mefurahi kukuonaKaribu,nipo mlangoni Leo.
Nimefurahi pia luv..Yaani Leo usingizi ndio umenigomea kabisa Leo.inabidi niwepo tu.Asanteh sana jamani, mefurahi kukuona
Nawafatiliaga sana,Ha ha ha ha ha. Kule ndio kijiwe cha nyumbani kule
Hata mimi sielewi nani kaondoka na usingiz wangu jamaniNimefurahi pia luv..Yaani Leo usingizi ndio umenigomea kabisa Leo.inabidi niwepo tu.

Basi unafatilia kimya kimya wewe. uwe unaweka hata vi comment vi2 vi3. Maana wadada tupo mie na espy wangu tu..Na espy nae siku hizi hata simuoni oni sana.Nawafatiliaga sana,
Leo hatariiiHata mimi sielewi nani kaondoka na usingiz wangu jamani![]()
Km kawa,we unaenda wapi siku hzMicasa hivi bado watu mnaenda hiyo sehemu. Duh!!! Nilishapa sahau aiseee.
Hilooooo! Li NeY mwanga mkali, liko na ucngizi!
Ghkaaaa. Unadhani micasa ni kiwanja changu mie??? Wala,kuna siku tulikuwa tunataka nyama rafiki angu mmoja ndio akasema hapo wana nyama nzuri. Ptuuuuuu,Hamna lolote. Kiclub chao kidogooooo. Nilivoingia mpaka nilijisikia kutapika,kunanuka jasho za kila aina. Maana Ac chache watu kibao..Km kawa,we unaenda wapi siku hz
HahahahaGhkaaaa. Unadhani micasa ni kiwanja changu mie??? Wala,kuna siku tulikuwa tunataka nyama rafiki angu mmoja ndio akasema hapo wana nyama nzuri. Ptuuuuuu,Hamna lolote. Kiclub chao kidogooooo. Nilivoingia mpaka nilijisikia kutapika,kunanuka jasho za kila aina. Maana Ac chache watu kibao..
Aqkhuuu. Sio makazi yangu huko mwenye starehe kwa kweli.