Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Nimechelewa!0500,Gate closed.
Nimechelewa!0500,Gate closed.
Muda wa kufunga geti huuPopozz
Nani yupo lindo muda huu
Wale wanafungua geti mapema kabla ya muda leo inabidi tuwajadili. Kila eneo lina taratibu zake. Hamuwezi kuwa mnakuja huku kutufanyia vurugu!

Sawanawasalimu tu wanabodi wa humu, leo nipo kama kawaida ila nitakuwa napita pita majukwaa mengine kujua nini kinaendelea
Jana na leomWiFwA
Na wale wanaoingia mchana na kuanza kujibu post waache kabisaOnyo:Wale mnaoingia kwenye huu uzi kabla ya muda,sasa naongea kama Max.wa uzi huu hiyo tabia tuisitishe mara moja ili kuongeza ladha ya jukwaa narudia tena isitishwe kabla sijalipeleka kwa mods wa J.f usiku wa manane kulijadili iwapo litaendelea nitaitisha kikao cha dharula.Tukumbushane muda ni kuanzia saa 6usiku mpaka saa 11Alfajiri kama huwezi lala tuache mapopo na mabundi.
Mimi mlinzi nina funguo huku, utawezaje kufunga geti?Muda wa kufunga geti huu
No escape kashafunga geti bhanaMimi mlinzi nina funguo huku, utawezaje kufunga geti?
HayaNo escape kashafunga geti bhana
Mimi apaPopozz
Nani yupo lindo muda huu