JamiiForums Usiku wa manane
Nakuacha mm nalala
811427a5be01383fbb6cb94d6a8a94ad.jpg
umelala uvunguni mbona huonekani?
 
Onyo:Wale mnaoingia kwenye huu uzi kabla ya muda,sasa naongea kama Max.wa uzi huu hiyo tabia tuisitishe mara moja ili kuongeza ladha ya jukwaa narudia tena isitishwe kabla sijalipeleka kwa mods wa J.f usiku wa manane kulijadili iwapo litaendelea nitaitisha kikao cha dharula.Tukumbushane muda ni kuanzia saa 6usiku mpaka saa 11Alfajiri kama huwezi lala tuache mapopo na mabundi.
 
Back
Top Bottom