Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Niko poa mkuu, naona leo kumepoa humu.mkuu uko poa lakini?
Niko poa mkuu, naona leo kumepoa humu.mkuu uko poa lakini?
Amen.Naogopa kusahau majukumu yangu
Niwaache tafwadhali
Mungu awatunze
inakuaje bobunani macho tuchat kidogo
nadhani ni kwa kuwa ni siku za kazi watu unakuta mchana walikuwa busy saizi wamejichokeaNiko poa mkuu, naona leo kumepoa humu.
Amen.Mkeshe salama jamani ngoja nimpetpet inna
Exactly, naona mapopo wanazidi kuamka.nadhani ni kwa kuwa ni siku za kazi watu unakuta mchana walikuwa busy saizi wamejichokea
Simu yake nnayo.Mtumishi Inna simuoni hapa au yuko na shughuli maalumu
Leo nimeingia mara ya kwanza thread hii, imechangamka lakiniNiko poa mkuu, naona leo kumepoa humu.
waamke tu tupeane sapoti, mi nikiona watu wako macho saizi napata moyo kuwa si peke yangu wa kuchelewa kulalaExactly, naona mapopo wanazidi kuamka.
hakuna kuchoka humu mbele kwa mbeleSasa mbona tumezama mapema, si tutchoka!
Aaah basi mkuu hua unapitwa.. Tembelea ijumaa hapaLeo nimeingia mara ya kwanza thread hii, imechangamka lakini
Huo Umugabe.. Achia madaraka ya simu.Simu yake nnayo.
Ha haa haaaa haya bana ngoja ni-book kabisaAaah basi mkuu hua unapitwa.. Tembelea ijumaa hapa
Wanakuja, huu uzi ni zaidi ya kahawa.. Usingizi badae sana.waamke tu tupeane sapoti, mi nikiona watu wako macho saizi napata moyo kuwa si peke yangu wa kuchelewa kulala
Ha haa haaa we una simu halafu yeye yupo hapaSimu yake nnayo.