JamiiForums Usiku wa manane
Habari popozz na bundiz!
Jamani naombeni ushauri...humu ndani kuna mtu nampenda sana ila naogopa kumwambia.
Nifanyeje?
Masikini Mwanafunzi wangu, siku nyingine ukiwa na shida usichelewe kwa Mwl wako.

Nenda PM yake mueleze kinagaubaga juu ya jinsi ulivyompenda, nina imani atakajibu vyema kabisa.

Au mfungulie thread sii wapambe tutashinikiza umtaje kwenye hiyo thread na ataona mwenyewe halafu baadae mtahamia PM mkasabahiane vizuri huko na kumwagiana sera barabara.
 
Back
Top Bottom