JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kumbe huyo ndo usingizi wako mamy? Basi usihofu nitahakikisha anarejea kwako salama. Ila shoga yako Inna mwangalie kwa jicho la nne(sina uhakika nimejiongelesha tu)
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo nyongo mkalia ini wangu huyo mama. Inna mke mwenzangu huyo sema sina imani nae sana anaweza akanipindua akabaki mwenyewe.
 
Back
Top Bottom