Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
hakika hii ndio mida rasmi ya mabundi maana mapopo pumzi fupiAmen ila mapopo washalala
Bundis tu ndo tupo
hakika hii ndio mida rasmi ya mabundi maana mapopo pumzi fupiAmen ila mapopo washalala
Bundis tu ndo tupo
Na wewe pia mkuumapopo usiku mwema kwenu nyote Mwenyezi akawalinde wote muamke salama kesho
Mtu mnene karibu mkuuNapita tu
Mwalimu Wa balimi umeonekana umempeleka wapi Thad![]()
![]()
![]()
Tafadhali mshiki punguzeni sipidi bhana, ujue msacha wako haruhusiwi kuona hizi aya za mibembelezo![]()
![]()
Hahaha ticha naona unaanza uchocheziNaona unatema misemo.
cc Thad
Mimi napiga debe wala sio uchocheziHahaha ticha naona unaanza uchochezi
TupoooWakuu mpo
Bora umekuja, sasa shika zamu maana popoz hawaeleweki hawaWakuu mpo
Hahaha ila unajua kujitetea kweli, mbona jirani yake hunter aliniambia mlikua mmejiteka na hunter wala akigonga geti hamfunguiMm karibie niende mndenyi nikihis nitakukuta
Tatizo ilikuwa nauli msacha oko mkunde

Ushauri wako mubashara kbsaNdio.
Kiloweke kwenye maji kilainike kwanza
Amen.mapopo usiku mwema kwenu nyote Mwenyezi akawalinde wote muamke salama kesho
Kiongozi tupo habari yako?Wakuu mpo